• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Ngara District Council
Ngara District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya wilaya ya Ngara

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Mipango na Ufuatiliaji wa Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu
        • Elimu ya Msingi
        • Elimu ya sekondari
        • Kwa wanafunzi
          • Mitihani iliyopita
            • Kidato cha IV
      • Maji
        • Maji Mjini
        • Maji Vijijini
      • Kilimo, umwagiliaji na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi na zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • MSM
      • Huduma katika MSM
      • Muundo wa MSM
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za kisheria
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili ya Msingi
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
      • Mipango Miji na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Nyumba ya Picha

TIMU YA VIONGOZI WATEMBELEA KUJIFUNZA NAMNA WILAYA YA NGARA INAVYOFANYA VIZURI KATIKA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO.

Wakati ilipowekwa: January 4th, 2024

Mhe Mkuu wa Mkoa wa kagera Fatma A.Mwassa  akiwa na Katibu Tawala Mkoa Dkt Toba Nguvila wameendelea siku ya pili na kikao kazi Cha  Mkoa Kilichofanyika ukumbi wa St Francis Wilayani Ngara.

Kikao hicho kilichohudhuliwa viongozi kutoka Wilaya zote za Mkoa wa kagera, Ambao ni  Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya, kamati ya ulinzi na usalama, Mstahiki Meya Bukoba Manspaa, Mkiti Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, viongozi Toka RS ,Wakurugenzi Watendaji ,Maafisa Mipango, Waweka hazina, maafisa Lishe, Waganga Wakuu, Maafisa Elimu Msingi na Sekondari, MenejaTaasisi za TANESCO, RUWASA, TARURA.

Mhe Mkuu wa Mkoa kagera Hajatt Fatma Abubakari Mwassa   baada ya kikao kazi kumalizika.alisema kuwa viongozi wote tutaelekea kwenye miradi ili kujionea Wilaya ya Ngara wanavyofanya vizuri kwenye miradi ya Maendeleo.

Ambapo ziara  ya Viongozi wote ilianzia ujenzi wa  nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya iliyojengwa Kwa tsh 150,000,000/ ambayo nyumba hiyo imekamilika.

Pia aliongoza  Tawala Mkoa Dkt Toba Nguvila kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Shule Mpya ya Murubanga  iliyopo kata ya Mugoma  iliyogharimu  Tsh 584,280,028 Toka Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Viongozi waliohudhuria waliipongeza  Halmashauri ya Wilaya ya Ngara  Mhe Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias J. Kahabi, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya  Ndg Solomon Kimilike, Mkiti wa Halmashauri Mhe Wilbard Bambara, Eng Simon Mtuka Kwa usimamizi wa Miradi ambayo ni Bora.

Mhe Wilbard Bambara Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya akiwa na Wakuu wa Wilaya za karagwe  Mhe Laizer, na Mkuu Wa Wilaya ya Muleba Mhe Dkt Nyamhanga pamoja na viongozi Toka Wilaya Mbalimbali baada ya kutembelea Nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ya Ngara.


Mhe Dkt Toba Nguvila katibu Tawala Mkoa  akiwa na Wakuu wa Wilaya Ngara Mhe  Kanali Mathias Kahabi, ,Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa,Mkuu Wilaya ya Muleba na Mhe Erato Sima Mkuu wa Wilaya Manspaa ya Bukoba.


Katibu Tawala Mkoa kagera  Dkt Toba Nguvila akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias Kahabi , Mkuu wa Wilaya Bukoba Manspaa Mhe Erasto Sima , Eng Simon Mtuka kwenye chumba Cha Maabara shule Mpya ya sekondari Murubanga kata ya Muganza Wilayani Ngara.



Katibu Tawala Mkoa Kagera Dkt Toba Nguvila akiwa na Mhe Mkuu wa Wilaya ya Ngara kanali Mathias Kahabi, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Solomon Kimilike wakielekea kuangalia majengo ya Shule ya Sekondari Mpya ya Murubanga kata ya Nyamagoma Wilayani Ngara.


Mhe Raurent John  Diwani kata ya Nyamagoma akiwa na kamanda wa TAKUKURU  Ndg Ally Mikidadi wakitembelea vyumba vya Madarasa.


Viongozi Mbalimbali wakitembelea kuona Mradi wa Ujenzi shule Mpya ya Sekondari Murubanga.




ngaradc.go.tz

Matangazo

  • RATIBA YA MKUU WA WILAYA YA NGARA MHE COL MATHIAS J KAHABI TAREHE 18/11/2024 MPAKA TAREHE 24/11/2024 November 18, 2024
  • TANGAZO LA WITO KWA WATUMISHI WA UMMA WALIOOMBA KUWAFUATA WENZA WAO November 19, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA WILAYANI NGARA KWENYE TARAFA ZA MURUSAGAMBA NA RULENGE November 22, 2024
  • SEMINA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA WASIMAMIZI WA VITUO IMEFANYIKA TARAFA ZA KANAZI NA NYAMIAGA November 24, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya kabisa

  • DC NGARA MHE COL MATHIAS KAHABI AKUTANA NA BRIG GEN GABRIEL E. KWILIGWA - KAMANDA BRIGDE YA MAGHARIBI.

    May 16, 2025
  • MHE COL MATHIAS JULIUS KAHABI DC NGARA ASHIRIKI USAFI NA WANANCHI WA NAKATUNGA

    May 15, 2025
  • MWENYEKITI WA CCM AENDELEA NA ZIARA YA KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO - NGARA

    May 16, 2025
  • KIKAO KAZI CHA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AFUA ZA LISHE WA KILIMO CHA MAHINDI CHAFANYIKA - NGARA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

ZIARA YA KAMATI ZA BUNGE KUTEMBELEA TEMBO NICKEL WILAYANI NGARA KAGERA
Video za ziada

Kurasa za haraka

  • Reports
  • Acts
  • Application form
  • Organization Structure
  • E-MREJESHO

Kurasa mashuhuri

  • PSM (Public Service Management)
  • PO-RALG
  • NECTA
  • NACTE
  • Sekretarieti ya ajira
  • Mfumo wa kutuma,kupokea na kufuatilia malalamiko,mapendekezo,maulizo na pongeza(eMalalamiko)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo la Ngara

Wasiliana nasi

    Ngara District Council

    Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara

    Simu ya mezani: 0282226016

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa