- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Video za Wakuu wa Wilaya wakiongea kwenye ziara iliyoandaliwa na Mhe Hajjat Fatma Mkuu wa mkoa wa Kagera, zimepangwa kulingana na maelezo hapa chini.
1. Mkuu wa Wilaya Kyerwa Mhe Zaituni A Msofe katika ziara ya kutembelea Miradi ya Maendeleo wilayani Ngara.
2. ACP. Advela John Bulimba Mkuu wa Wilaya ya BIHARAMULO aliongea baada ya kutembelea Miradi ya Ngara.
3. Mkuu Wa wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias J kahabi.
4. Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Kanali Maiga.
5. Mkuu wa Wilaya Muleba Dr Abel Nyamahanga katika ziara ya RC KAGERA Mhe Hajatt Fatma A Mwassa wilayani Ngara.
6. Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Manspaa. Na Halmashauri ya Bukoba Mhe Erasto Sima.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa