- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA UPDATES
21/03/2025
Timu ya Wawezeshaji toka ofisi ya RAS Kagera ikiongozwa na Ndg Amos M. Adonias ambaye ni Mratibu wa ufuatiliaji PEPMIS Mkoa, Ndg Samweli Chaba, Ndg Patrick Maro na Nduwayo Elias ambao ni Champions.
Katika mafunzo hayo yalihudhuliwa na Wakuu wa Idara na Vitengo H/ Wilaya, Maafisa utumishi , wasimamizi wa vituo vya Afya na zahanati , walimu Wakuu, Wakuu wa Shule , Maafisa elimu kata,na wakuu wa Taasisi.
Lengo la Mafunzo ni kufanya ufuatiliaji wa Utekelezaji wa majukumu kwenye Mfumo wa PEPMIS ni kuhakikisha kuwa watendaji Utendaji wa watumishi katika Mkoa wa Kagera unakuwa na Uhalisia na mada zifuatazo
Aidha PSSSF walikutana na baadhi wastaafu pia lengo Lao likiwa kufanya ufuatiliaji wa wanufaika wa mfuko husika na kutatua changamoto zao.
Maafisa utumishi Ndg Bahati Adamu Aliwasilisha taarifa ya ufuatiliaji wa ESS na Ndg Rutakinikwa Paschal alibabadua masuala ya kiutumishi.
Timu ya wawezeshaji toka Ras Kagera waliipongeza Halmashauri ya wilaya ya Ngara kwa kuwa ya kwanza kimkoa kuwa na asilimia 63 PEPMIS kulingana na uhalisia kwa Wilaya Zingine.
Mgeni Rasmi katika mafunzo hayo alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Ngara Ndg Josephat Sangatati.
Wawezeshaji mafunzo ya ESS
Kaimu Mkuu wa idara ya utawala na Usimamizi wa Raslimali watu Bi Viviani Maruhe , Ndg Bahati Adamu na Mratibu wa Mafunzo Ndg Amos M. Adonias.
Washiriki wa Mafunzo Ndani ya ukumbi wa Askofu Ngara Mjini
Ndg Rutakinikwa Paschal Afisa utumishi akitoa utambulisho kwa Kaimu Ded walipowasili kabla ya Mafunzo
Maafisa Utumishi katika Mafunzo Bi Perajia Nabudindi na Bi Viviani Maru ambaye ni kaimu mkuu wa idara ya utawala na usimamizi wa Raslimali watu
Washiriki wa Mafunzo
Ngara kazi inaendelea
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa