- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Ngara
"Ninawasalimu Kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wananchi wa wilaya ya Ngara, ninapenda kuwatakia wananchi Sikukuu njema za IJUMAA KUU na PASAKA, Katika wakati huu ninaomba tusherehekee kwa amani na utulivu" Amesema Mhe Col. Kahabi DC Ngara.
Jeshi la Polisi limejipanga vema kuhakikisha amani na utulivu unadumishwa muda wote wa Sikukuu za Pasaka.
Aidha. Kwenye Changamoto za Kiusalama Wananchi mnaombwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwa Jeshi la Polisi ili wachache watakaojaribu kuleta uvunjifu wa amani waweze kudhibitiwa haraka iwezekanavyo.
Pia nitoe Rai kwa wamiliki wa Kumbi za Starehe wahakikishe wanatoa ushirikiano wa kutosha kwa Jeshi la Polisi endapo kuna dalili za uvunjifu wa amani kwa wateja wao pia DISCO TOTO NI MARUFUKU
Ninawatakia sikukuu njema
Hayo ni maneno ya Mhe. Col. Mathias Julius Kahabi - Mkuu wa wilaya ya Ngara
Ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa