- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
PICHA/JINA
|
|
CHEO
|
|
MAWASILIANO
|
Eng. Simon Ndyamukama
|
|
Mhandisi wa Maji (W)
|
|
+255 784 485 036,/ +255 754 021 904
|
UTANGULIZI
Mamlaka ya Maji Mjini Ngara ilitangazwa kwa GN Na. 258 tarehe 21 Juni, 2002 na kuanza kazi rasmi tarehe 01 Julai, 2003.
Chini ya sheria ya Maji na Usafi wa Mazingira Na.12 ya mwaka 2009 Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Ngara Mjini (NGUWASA), imepewa jukumu la kusimamia na kutoa huduma endelevu ya maji na usafi wa mazingira katika mji wa Ngara chini ya usimamizi wa Bodi ya Maji. Mamlaka iko kundi C na inalelewa na Halmashauri ya Wilaya ya Ngara.
UZALISHAJI NA UTOAJI WA HUDUMA YA MAJI
Maji huzalishwa kwa kutumia mitambo 3 inayotumia nishati ya umeme kutoka kwenye chanzo cha maji cha Mukidyama. Maji husambazwa kwa Wateja kwa njia 2 ambazo ni:-
(i)Kusukuma maji hadi kwenye matenki na baadae kuyasambaza kwa mserereko (Gravity) hadi kwa wateja na
(ii) Kusukuma maji moja kwa moja kutoka kwenye chanzo hadi kwa wateja bila kupitia kwenye matenki (Direct pumping)
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa