- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ina jumla ya shule 29, kati ya hizo 23 ni za serikali na 6 ni za binafsi. Aidha miongoni mwa hizo kuna shule 5 za kidato cha tano na sita zikiwemo 4 za serikali na 1 ni ya binafsi hivyo kutimiza azima ya Serikali ya kila tarafa kuwa na shule ya kidato cha tano na sita. Halmashauri ya Wilaya ina jumla ya walimu 470 kati ya hao walimu wanaofundisha masomo ya sanaa ni 395 na wanaofundisha masomo ya hisabati na sayansi ni 75. Jukumu kubwa la idara ya Elimu Sekondari ni kuhakikisha kuwa vijana wote wanaojiunga na masomo ya Sekondari wanahitimu na kufaulu kwenye mitihani yao ya mwisho.
Hali ya Taaluma
Matokeo ya mitihani ya taifa ya kidato cha nne (CSEE) miaka mitatu mfululizo yaani 2015, 2016 na 2017 yanaonesha kuwa hali ya taaluma kwa shule za sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara inaridhisha. Soma Link:
Taarifa maendeleo elimu sekondari.pdf
AKAUNTI ZA SHULE ZA SEKONDARI.pdf
ELIMU BURE CAPITATION DESEMBA 2015- 2016 ELIMU SECONDARY.pdf
ELIMU BURE CAPITATION JULY 2016- JUNE 2018.pdf
ELIMU BURE CHAKULA - ELIMU SEKONDARI DISEMBA 2015 - JUNE 2017.pdf
ELIMU BURE FIDIA YA ADA - ELIMU SEKONDARI.pdf
ELIMU BURE FIDIA YA ADA JULY 2016 - JUNE 2018.pdf
ELIMU BURE FIDIA YA ADA - ELIMU SEKONDARI.pdf
ELIMU BURE FIDIA YA ADA JULY 2016 - JUNE 2018.pdf
ELIMU BURE POSHO WAKUU - ELIMU SEKONDARI AGOST 2016 - JUNI 2017.pdf
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa