- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Hali ya halisi ya idara
PICHA/JINA
|
|
CHEO
|
|
MAWASILIANO
|
Ndugu, Telesphor Ngerangera
|
|
Ukaguzi (W)
|
|
+255754761170
ukaguzi@ngaradc.go.tz
|
Kitengo kinafanya kazi kwa mujibu wa sheria ya fedha ya serikali za mitaa N0 9 ya mwaka 1982 ambapo pamoja na mengineyo inahitaji vitabu vya hesabu za kila halmashauri za wilaya na mamlaka za miji kukaguliwa na mkaguzi wa ndani aliyeajiliwa na Serikali.
Miongozo mingine inayotumika ni;
Kitengo ya ukaguzi inafanya kazi zake chini ya idara ya Utawala, na inafanya kazi katika mazingira ya kuridhisha kwa kuwa kuna vitendea kazi muhimu vinavyowawezesha maafisa wa kitengo kufanya kazi kikamilifu. Kitengo kina maafisa watatu(3) ambapo mmoja(1) ni mkuu wa kitengo na wawili(2) ni wasaidizi wake.
Hivyo miongozo, sheria na kanuni zilizobainishwa hapo juu zinaonesha au kubainisha kwamba uongozi inalojukumu la kuunda mifumo ya udhibiti wa ndani ili kuhakikisha shughuli au kazi zinafanyika kiufanisi na kwa mpangilio uliowekwa, hivyo mifumo ya udhibiti wa ndani uliundwa au kuanzishwa kwa dhumuni la;
Kuhakikisha ulinzi na usalama wa mali za taasisi
Kuweza kuhakikisha kumbukumbu za hesabu zinazotolewa kuaminika na kutegemewa.
Kuchochea utendaji wa kiufanisi.
Kusimamia utekelezaji wa sera na miongozo.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa