- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Picha/Jina
|
|
CHEO
|
|
MAWASILIANO
|
Jamary Idrisa Abdul
|
|
Kaimu Afisa Uchaguzi(W)
|
|
+255713651600, +255684186969
uchaguzi@ngaradc.go.tz
|
Kitengo cha Uchaguzi katika ngazi ya Mamlaka ya serikali za mitaa (MSM) kina fanya kazi chini ya Tume yaTaifa ya Uchaguzi iliyoanzishwa Januari mwaka 1993 chini ya kifungu namba 74(1) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977.
Katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, Kitengo cha Uchaguzi ni kati ya Vitengo 6 vilivyopo na Kitengo hiki kilianzishwa mwaka 2011 baada ya Waziri Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kutangaza mfumo mpya wa Idara na Vitengo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Halmashauri ya Wilaya ya Ngara kiutawala imegawanyika katika Tarafa 4,Kata 22, Vijiji 75, Vitongoji 389 na Jimbo 1 la uchaguzi ngazi ya Ubunge.
MAJUKUMU YA KITENGO CHA UCHAGUZI.
UCHAGUZI JIMBO LA UBUNGE.
Matokeo ya Ubunge katika jimbo la Uchaguzi la Ngara, Mgombea kupitia Chama cha Mapinduzi ndie aliyeshinda kiti cha Ubunge.
CHANGAMOTO ZA KITENGO CHA UCHAGUZI.
TAARIFA YA UCHAGUZI MDOGO KATA YA KEZA JANUARI 2018.pdf
UHAKIKI WA VITUO VYA UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA NGARA DC.pdf
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa