- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Idara ya kilimo inalenga kuleta huduma ya ushauri wa kitalaamukaribu na wakulima. Lengo kubwa likiwa ni kupunguza umasikini uliokithiri kwakutumia njia kuu nne za uzalishaji ambazo ni ardhi, watu, mtaji naujasiliamali. Asilimia 90 ya wakazi wa Ngara wanategemea kililmo ili kuendeshamaisha yao ya kila siku. Matumizi ya ardhi Wilayani Ngara yapo kama ifuatavyo:-
Na. |
ENEO |
UKUBWA WA ENEO (Ha) |
1.
|
Eneo lote la Ardhi Wilayani
|
374,400 |
2.
|
Ardhi inayofaa kwa Kilimo
|
303,483 |
3.
|
Ardhi inayotumika kwa Kilimo kwa Sasa
|
64,940 |
4.
|
Eneo linalofaa kwa Kilimo cha Umwagiliaji
|
5,000 |
5.
|
Eneo lisilofaa kwa Kilimo
|
70,917 |
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa