- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
IDARA YA MIPANGO TAKWIMU NA UFUATILIAJI
PICHA/JINA
|
|
CHEO
|
|
MAWASILIANO
|
Bw. Constantine Msemwa |
|
Afisa Mipango
|
|
+255 745 746 475
mipango@ngaradc.go.tz
|
Hali ya Idara
Idara ya Mipango Takwimu Na Ufuatiliaji ni miongoni mwa Idara 13 zinazounda Halmashauri ya wilaya ya ngara. idara inatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia será na miongozo mbali mbali toka ngazi ya taifa na dunia kwa ujumla, será na miongozo ni kama sera ya maendeleo vijijini, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Malengo ya Millennia 2015, njia shirikishi jamii ya upangaji (O & OD), Sera ya Takwimu 2002, Sera ya Taifa ya Idadi ya watu 2006, Mpango wa Taifa wa Maendeleo 2011/12-2015/16, Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini II na Ilani ya Uchaguzi 2010-2015. Idara ina ina watumishi 6, Kati yao 1 ni katibu mahsusi, 2 wachumi na 3 ni maafisa maendeleo ya jamii.
14.1 Majukumu ya idara
Kazi kuu za Idara hii ni pamoja na;
a) KURATIBU mpango wa halmashauri,
b) kuratibu na kusimamia shughuli za ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo,
c) uhamasishaji jamii kushiriki katika miradi ya maendeleo,
d) kutafsiri miongozo mbalimbali kutoka serikali kuu,
e) kutoa ripoti za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na kukusanya kuchambua na kusambaza takwimu mbalimbali za kijamii na kiuchumi na
f) kuhakikisha banki ya takwimu mbali mbali za za kijamii na kiuchumi zinaboreshwa na kuhakikiwa.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa