- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Kuna ng’ombe kiasi cha 70,000. Baadhi ya wafugaji wanafugia ng’ombe ndani. Mfano wa Ngombe wanaofugiwa ndani ni kama Frisian chotara F1, F2 & F3 wa aina ya Boran. Wafugaji waliobaki wanafuga aina ya Zebu na Ankole ambao uzalishaji wao wa maziwa ni kati ya lita 1-3 kwa siku. Katika kilimo mchanganyiko wa Migomba-Kahawa wanayama wadogo kama mbuzi na kondoo hufugwa pamoja na ng’ombe wa maziwa. Maeneo ya nyanda za Chini Ng’ombe na mbuzi wanafugwa kwenye machungo huria. Samadi hutumika kama mbolea.
Fursa za Kiuchumi
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa