- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
UKUSANYAJI WA MAPATO YA HALMASHAURI YA WILAYA.
PICHA/JINA
|
|
CHEO
|
|
MAWASILIANO
|
Ndugu Abbas O. Yussuf
|
|
District Treasurer
|
|
+255 755 283 878
fedha@ngaradc.go.tz
|
Kwa kipindi cha Mwaka wa fedha 2014/15 hadi tarehe 30, Juni Halmashauri kutokana na vyanzo vyake ilikusanya Shs 526,138,766.48 sawa na asilimia 62.6 ya lengo la mwaka la kukusanya Shs 840,342,342.
17.1 Changamoto katika ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri ya Wilaya.
Uzalishaji mdogo wa mazao ya kilimo na biashara
Muda mrefu unaochukua kuidhinishwa kwa sheria ndogo za kukusanya mapato.
Wigo mdogo wa vyanzo vya mapato.
Elimu ndogo kwa Walipa kodi/ushuru
Miundombinu ya kilimo na masoko hafifu
17.2 Ufumbuzi:
Katika kukabiliana na hali hii wilaya ina mikakati ifuatayo:-
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa