- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imeleta Fedha Tsh Millioni 87,533.000.00 za mfuko wa Jimbo ambazo zimepokelewa Wilayani Ngara tarehe 31/10/2023.
Fedha hizo ni Kwa ajili ya kuchochea Miradi ya Maendeleo katika Jimbo la Ngara.
Fedha hizo zinasimamiwa na Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe Ndaisaba G Ruhoro.
Kitengo Cha Mawasiliano serikalini
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa