- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Tume ya Taifa ya Uchaguzi katika kikao chake cha tarehe 24 Februari, 2024, imetoa vibali vya kutoa elimu ya mpiga kura wakati wa uchaguzi mdogo wa Udiwani katika kata 23 za Tanzania Bara kwa asasi za kiraia 11.
Tume imefikia uamuzi huo kwa kuzingatia kanuni ya 3 ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Uchaguzi wa Madiwani) za mwaka 2020, inayoipa Tume jukumu la kutoa elimu ya mpiga kura nchi nzima, kuratibu na kusimamia taasisi na asasi za kiraia zinazotoa elimu hiyo.
Orodha ya asasi za kiraia zilizopata kibali cha kutoa elimu ya mpiga kura na maeneo watakayotoa elimu hiyo, imeoneshwa katika hati (document) ambayo ipo hapa chini
Bonyeza hapa kuangalia na kusoma zaidi kuhusu hati (document) iliyooneshwa asasi hizo zilizopata kibali.
TANGAZO KWA UMMA KUHUSU ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA(3).pdf
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa