- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Balozi wa Tanzania nchini Burundi Mhe Gelasius Gasper Byakanwa amekutana na Mkuu Wa Wilaya Ngara Mhe.Kanali Mathias Julius Kahabi pamoja na kamati ya Usalama Wilaya Leo tarehe O4/11/2023.
Lengo likiwa ni kujitambulisha baada ya Uteuzi wake uliofanyika miezi michache iliyopita.
Aidha katika ziara Mhe Barozi huyo alifuatana na Brig Gen Salum Mnumbe mwambata Jeshi Nchini Burundi.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa