- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mwenyekiti wa chama Cha Walimu wilayani Ngara Bw Allen Marton akiwa ameambatana na Mhasibu wa chama hicho Bw Amos Juvinary
Wamekabidhi maji catton 30 pamoja na soda kwa Afisa Elimu Sekondari Bw Enock Ntakisigaye, kwa ajili ya kusaidia katika uendeshaji wa michezo ya UMISSETA, iliyaoanza rasmi Jana tarehe 30/5/2024.
Aidha Bwn Ntakisigaye aliyepokea kwa niaba yamkurugenzi Mtendaji ( w) amewashukuru Sana kwa ushirikiano huo.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa