- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
15 Januari, 2024
Mhe Col. Mathias Julius Kahabi DC Ngara ameendelea na oparesheni ya kusikiliza na kutatua KERO ofisini kwake Leo siku ya Jumatatu Tar 15 Januari, 2024.
Leo ilikua ratiba ya kwenda kwenye makabidhiano ya Mradi wa Maji Kata ya Rusumo wilayani Ngara lakin Wananchi wamekuwa wengi ofisini hivyo imemlazimu Mhe DC kuwasikiliza wananchi Ili kutatua KERO za wananchi waliokuja ofisi.
Aidha akiwa ofisini Mhe DC amefanya kikao Cha kusikiliza na kutatua kero za MAAFISA USAFIRISHAJI maarufu Kwa jina la Bodaboda ambapo Mhe Kahabi ameshirikiana na Kaimu DAS ndg Jawadu Yusuph, Mwakilishi wa ofisi ya DSO pamoja na Mkuu wa Traffic wilaya ya Ngara (DTO )Afande Kagoso.
Changamoto na Kero nyingi zimeibuliwa na kupatiwa ufumbuzi Kwa pamoja maadhimio yamewekwa na yapo ambayo yameendelea kutekelezwa.
Kikao Cha Mhe Mkuu wa Wilaya na Maafisa usafirishaji Bodaboda ofisini Kwake.
Wananchi waliofika kusikiliza kero zao na kutatuliwa.
Wananchi.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa