- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo Mhe col Mathias J. Kahabi amewataka wananchi na viongozi wote kesho siku ya alhamisi kushiriki zoezi la Usafi kata zote wilayani Ngara.
Dc Col Kahabi amesema zoezi hili ni endelevu baada ya Uzinduzi wa suala la Usafi wilayani Ngara lilifanyika kiwilaya kata ya Rusumo Ambapo viongozi Mbalimbali walishiriki akiwepo Mkurugenzi mtendaji Wilaya Ndg Solomon O Kimilike , kamati ya Usalama Wilaya, Wakuu wa Idara na Vitengo Vya Halmashauri pamoja na viongozi wa Kijiji na kata ya Rusumo.
Timu ya Viongozi itapita kukagua maeneo Mbalimbali kukagua.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa