- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa wilaya Ngara Mhe Col Mathias Julius Kahabi Tarehe 17 Januari 2024 amefanya kikao akiwashirikisha, Mkiti wa Halmashauri Mhe Wilbard Bambara, kamati ya usalama ya wilaya pamoja na waandisi na wakandarasi ambao wanatekeleza miradi mbalimbali ndani ya wilaya.
Mhe Mkuu Wa Wilaya amepokea taarifa zote na kutoa msisitizo juu ya miradi ambayo inasuasua pia amechukua hatua na kuwapa muda maalum wakandarasi kuandaa taarifa sahihi Hadi kufikia Ijumaa Tar 19 Januari 2024.
Mhe Mkuu wa wilaya amesisitiza wakandarasi kuhakikisha wanathamini pesa zinazoletwa na Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na watimize wajibu wao.
Kazi iendeleee.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa