- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Ngara leo
Mhe Col Mathias Julius Kahabi DC Ngara amepokea Ugeni toka Nchini Burundi kwa ajili ya kujifunza mafanikio ya utekelezaji wa miradi ya LADP awamu ya kwanza na ya pili ambapo Nchi hizi hizi mbili Tanzania na Burundi zimenufaika na miradi(CSR) inayofadhiliwa na NELSAP na kusimamiwa na LADP. Ugeni toka Burundi umeongizwa na Governor wa Muyinga Province Mhe Jean Claude Batutwanayo, Governor wa Kirundo Province Mhe Col Pol Victor Segasalo pamoja na timu ya Wataalam wanaosimamia miradi hiyo Nchini Burundi.
Aidha, ugeni huu umepongeza jinsi miradi ya LADP ilivyosimamiwa na ilivyotekelezwa vema na Halmashauri ya Wilaya ya chini ya Mkurugenzi wa Wilaya Ndg Solomon Kimilike na Mratibu wa miradi hii Bi. Irene Chalamila pamoja na timu ya Wataalam toka Halmashauri ya Wilaya ya Ngara kwa Ushirikiano mkubwa na Kamati ya Usalama.
Ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa