- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Imeelezwa Leo na Bi Bety Toka Ofisi ya Biashara,viwanda na uwekezaji.kwenye kikao Cha wataalam (CMT).
Bi Bety amesema Wilaya ya Ngara ndiyo pekee ilishiriki katika maonesho ya Afrika Mashariki kutoka Mkoa wa Kagera .maonesho hayo yameshirikisha nchi Mbalimbali.
Maonesho yalifanyika uwanja wa Farasi Bujumbura nchini Burundi ambapo yalianza tangu tarehe 5/12 Hadi 15/12/2023.
Cheti hicho kimekabidhiwa Kwa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ngara Ndg Solomoni Kimilike Leo kwenye kikao Cha wataalam wa Halmashauri.
Wakuu wa Idara na Vitengo wakiwa katika kikao na kushuhudia Bi Bety akikabidhi Cheti Kwa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya.
Wakuu wa Idara na Vitengo Halmashauri.
Idara ya viwanda,Biashara na UwekezajiI wakifurahia cheti Cha maonesho ya 23 Jumuiya ya Afrika Mashariki , Nguvu kazi, Jua kali, Yaliyofanyika Uwanja wa Farasi Bujumbura nchini Burundi tangu Tarehe 5/12 hadi 15/12/2023.
Cheti Cha kushiriki.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa