- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Idara ya Afya Wilaya ya Ngara imepatiwa gari jipya Kwa ajili ya shughuli za Idara hiyo. Gari hilo lenye namba STM 8002.
Ambapo Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Solomon kimilike amemshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Kwa kutoa gari ambalo litasaidia katika shughuli Mbalimbali za Idara ya fya Wilayani Ngara.
Mkurugenzi Mtendaji pia amewashukuru Mkuu wa Wilaya Mhe. Kanali Mathias Julius Kahabi ,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Wilbard Bambara Kwa ushirikiano mkubwa walionao Wilayani Ngara.
Aidha Mkurugenzi Mtendaji Wilaya kipekee amemshukuru Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe Ndaisaba George Ruhoro Kwa kuisemea Halmashauri na kusimamia kuhakikisha Idara ya Afya Wilaya ya Ngara inapata Gari jipya.
Gari jipya namba STM 8002 lililotolewa Kwa sekta ya Afya Wilayani Ngara.
Gari jipya la Sekta ya Afya Wilayani Ngara.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa