- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA LEO
Idara ya Ardhi Wilaya imekutana na viongozi pamoja na wananchi wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Rulenge katika Mkutano wa hadhara uliofanyika tarehe 3/10/2024 stend Rulenge.
Uongozi wa Ardhi Wilaya wakiongozwa na Mkuu wa Idara hiyo Ndg. Kaindoa ambapo walitoa ufafanuzi wa Masuala ya upangaji, upimaji, umiliki na uendelezaji wa Ardhi.
uongozi wa Mamlaka ya Mji Mdogo Rulenge uliishukuru ofisi ya Ardhi Kwa kufika na kuwaelewesha wananchi juu ya Masuala ya Ardhi na taratibu Mbalimbali.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa