- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo siku ya Jumamosi imefanyika Jogging na mazoezi ya pamoja Kwa kushirikisha watumishi , wafanyabiashara,Wafugaji, Wakulima, na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mchungaji mwema.
Jogging na mazoezi ya pamoja yakiongozwa na Mkiti wa Ngara Jogging club Dr David Mapunda na Afisa Michezo / Utamaduni Ndg. Said Salum .
Akiongea Mkiti wa Ngara Jogging club Dr. Mapunda amesema kuwa Lengo la kufanya jogging na mazoezi ya Pamoja ni kuimarisha Afya ili kuondokana na Magonjwa yasiyoambukiza kama saratani,mshtuko wa moto na kisukari.
Aidha amesema Kwa kushirikiana na ofisi ya Utamaduni sanaa na michezo Wilaya ya Ngara tayari walikwishaanzisha Ngara fitness Ambapo ni siku za jumatatu, Jumatano na ijumaa Jioni kuanzia saa 11 viwanja vya Halmashauri Ngara mjini .(uwanja wa mpira wa kikapu)
Pia Ipo Ngara Jogging club Kila siku za Jumamosi Alfjri kuanzia saa 12 alfjri Hadi saa 1 Asubuhi.washiriki ni watumishi, Wakulima,wafugaji ,wafanyabiashara (wajasiliamali ) Wanafunzi na Wananchi wote Kwa ujumla.
Baada ya kumaliza Jogging na mazoezi ya pamoja Ngara Mjini.
Mazoezi Kwa Afya ya mwili.
Baada ya Joggingi wakifanya mazoezi ya pamoja katika kiwanja Cha Halmashauri wilayani Ngara.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa