- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo imefanyika Jogging na Mazoezi ya pamoja Ngara Mjini.
Jogging na mazoezi ya pamoja Aerobic ilishirikisha watumishi ,wanafunzi Toka Mchungaji mwema sec na wananchi Mbalimbali Ambapo walijitokeza.
Jogging na mazoezi ya pamoja hufanyika Kila Jumamosi ya wiki Kwa kushirikisha wananchi na watumishi.
Lengo la kufanya Jogging na mazoezi ya pamoja ni Kwa ajili ya kuimarisha Afya.
Mkiti wa Jogging Dr David Mapunda amesisitiza wananchi waendelee kujitokeza kufanya mazoezi kwani mazoezi ni Tiba.
Mkiti wa Jogging club Ngara Dr Mapunda mwenye jezi Nyekundu akiongoza mazoezi ya pamoja Kwa kushirikiana na Afisa utamaduni Michezo.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa