- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
kamati za Bunge ambazo ni Ardhi, Nishati na Madini wakiwa na Waheshimiwa Mawaziri wamefika wilayani Ngara mkoani kagera.
Ikiwa pia na Uzinduzi wa Malipo ya Waguswa wa Mradi wa Tembo nickel Wilayani Ngara .
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba Ruhoro akitoa salamu na neno la ukaribisho Aidha Amewataka Tembo Nickel kuhakikisha wenyeji wa Ngara wananufaika wa kwanza kwa shughuli za Mgodi.
Dhumuni kubwa la ugeni ni kuzindua ulipaji wa fidia kwa waguswa wa Mgodi. Hivyo wamesaini mkataba kwa Kijiji Cha Rwinyana na Muganza.
Wananchi wa kata ya Bugarama wamejitokeza kwa wingi.
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Solomon Kimilike akiwa na Wakuu wa Idara na Vitengo katika ziara ya kamati za Bunge zilizofika wilayani Ngara
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa