- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Kampuni hiyo wanafanya kazi chini ya kampuni ya Tembo nickel wamefika wilayani Ngara
Kampuni ya RSK Ikiongozwa na Prof E . Ichumbaki, Ndg Salum Hilali Bavuga, , Bi Mwanahawa Mahanyu, na Ndg Josias Bazilio Toka TNCL Ngara .
Lengo la ziara hiyo ni kupata vipaumbele vya maeneo ya kihistoria katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara.
Aidha pia wametembelea vivutio Mbalimbali vilivyopo wilayani Ngara ambavyo ni Mafiga matatu ( Tanzania ,Rwanda na Burundi) Nyumba za Machifu Baramba kanazi , Chifu Nsolo keza, Mlima mrefu kuliko yote mkoani kagera Mlima Shunga , Maporomoko ya Rusumo, Makabuli ya halaiki ya Mauaji ya kimbale watu 917 Rusumo, Mapango yaliopo Kirushya .
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa