- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Kikao Cha Baraza la Biashara Mkoa kimefanyika Tarehe 23/11/2023 katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Kikao hicho kimeongozwa na Mkuu Wa Wilaya ya Misenyi Kanali Wilson Sakulo kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
Kikao Cha Baraza hilo kimefanyika katika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa kagera .
Lengo la kikao ikiwa nikuonesha fursa Mbalimbali za Biashara na UwekezajiI zilizopo katika Halmashauri za wilaya Mkoa wa kagera, sambamba na changamoto.
Mkuu wa wilaya Ngara Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi akiwa na Wakuu wa wilaya za karagwe na Biharamulo katika Kikao Cha Baraza la Biashara Mkoa wa kagera
Afisa Mipango Wilaya ya Ngara Constantine Msemwa (kaimu Ded) nyuma wa kwanza kulia akiwa na Afisa Biashara Wilaya Ndugu Privanus anayemfuata wakiwa katika Kikao Cha Baraza la Biashara Mkoa kilichofanyika ukumbi wa Mkuu wa Mkoa.
Viongozi Kutoka Wilaya za Mkoa wa kagera wakiwa katika Kikao Cha Baraza la Biashara kilichofanyia Ukumbi wa Mkuu wa mkoa
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa