- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo kimefanyika Cha Baraza la Wafanyakazi kimefanyika. Ukumbi wa Community centre uliopo Ngara Mjini.
Kikao hicho kimeongozwa na Mkiti ambaye ni kaimu Mkgenzi Mtendaji Ndg Emmanuely Kulwa Kwa niaba Mkurugenzi Mtendaji Ndg.Solomon Kimilike ,na katibu wa Baraza hilo Ndg Remigius Kawishe.
Kikao hicho kimehudhuliwa na Wakuu wa Idara ,Vitengo na Wasaidizi wao, viongozi Mbalimbali kutoka vyama vya Wafanyakazi Mkoa, Wilaya TUGHE, TALGWU CWT wameshiriki Kikao hicho.
Aidha Kaimu Afisa Mipango Halmashauri Ndg Boniface Mwakikuti aliwasilisha Taarifa ya mapitio ya Bajeti 2023/2024 na Makisio ya Bajeti mwaka 2024/2025.
Mkiti wa kikao hicho aliwakaribisha wajumbe kuchangia baada ya Majadiliano wajumbe waliipitisha Makisio na bajeti.
Viongozi Mbalimbali wakiwa kwenye kikao.
Mkiti CWT Mwl Allen akiwa kwenye kikao kilichofanyika ukumbi wa community center Ngara Mjini.
Mkiti wa kikao ndg Emmanuely Kulwa akiwa na katibu wa Baraza la wafanyakazi Ndg Remigius kawishe- kwenye Kikao kilichofanyika Ukumbi wa Community Centre.
Wajumbe wakiwa kwenye kikao.
Wajumbe wakiwa kwenye kikao.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa