- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Ngara leo
Leo Kimefanyika Kikao Cha Kamati ya fedha ,utawala, na Mipango katika Ukumbi wa kilimo Ngara Mjini.
Kikao hicho kiliongozwa na Makamu Mwenyekiti Mhe Adronizi Bulindori na katibu ambaye alikuwa ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Emmanuely Kulwa pia Wajumbe ambao ni Waheshimiwa Madiwani baadhi na Wakuu wa Idara na vitengo vya Halmashauri , Maafisa tarafa za Mursagamba, Kanazi, Rulenge na Nyamiaga Wameshiriki Kikao hicho.
Kikao hicho kimepitia Makisio Rasimu ya Mpango wa Maendeleo Bajeti 2024/ 2025 na Mapitio ya Bajeti ya Mwaka 2023/2024.
Waheshimiwa Madiwani Mhe John Niyonzima , na Mhe Laurent J Msugalele wakiwa kwenye kikao.
Makamu Mkiti Halmashauri ya Wilaya akiwa na kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya katika Kikao Cha Kamati ya fedha, Mipango na utawala.
Wah Madiwani wakiwa na Wakuu wa Idara katika Kikao Cha Kamati ya fedha ,Mipango na utawala.
Wakuu wa Idara na vitengo wakiwa katika Kikao.
Wakuu wa Idara wakiwa kikaoni.
Wakuu wa Idara wakiwa kikaoni.
Mhe Sudi Mkubila akiwa na viongozi katika Kikao.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa