- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Ngara Tarehe.15-09-2023
Kimefanyika kikao Cha Mafundi Ujenzi na Halmashauri ya Wilaya katika ukumbi wa Kilimo .
Lengo likiwa ni kujadiliana namna Bora ya kutekeleza Miradi Kwa njia ya "Force Account' ikiwa ni watekelezaji katika ujenzi ndani ya Halmashauri.
Kikao hicho kilihudhuriwa na Afisa Mipango na Uratibu kny Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi wa Ujenzi Mweka Hazina .na Afisa Habari na Mawasiliano Halmashauri
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa