- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Kikao hicho Cha wadau wa masuala ya kijinsia katika Kuhitimisha kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto kimefanyika katika Ukumbi wa kilimo uliopo Ngara Mjini.
Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa wilaya ya Ngara Kanali Mathias Kahabi aliyewakilishwa na Ndg. Jawadu Yusuph kaimu katibu Tawala wilaya .
Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali zilizoibuliwa na Jamii katika Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto.
Ambapo kauli Mbiu ya kampeni ilikuwa "WEKEZA, KUZUIA, UKATILI WA KIJINSIA"
Ndg. Emmanuely Kulwa mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii aliyesimama akiongea katika kikao hicho.
Wadau mbalimbali wakiwa katika Kikao Cha Kuhitimisha siku 16 za Kampeni ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa