- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mafunzo ya Maadili Kwa viongozi yametolewa Leo tarehe 02/11/2023 na Ofisi ya Rais sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa umma Kutoka Kanda ya ziwa . Mafunzo yamefanyika katika Ukumbi wa St.Francis Kwa Baba Askofu Ngara Mjini.
Mgeni rasmi katika Mafunzo hayo alikuwa ni Mkuu wa wilaya ya Ngara Mhe.kanali Mathias Julius Kahabi Pia walishiriki Mkiti wa Halmashauri Wilbard Bambara , Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg.Solomon Kimilike na katibu Tawala Wilaya Bi Hatujuani Lukali.
Mafunzo ya Maadili Kwa viongozi yalishirikisha Waheshimiwa Madiwani wote, kamati ya usalama,Wakuu wa Idara na vitengo, Taasisi na watendaji wa Kata zote Wilayani Ngara.
Mada Mbalimbali zilifundishwa ambazo ni Sheria ya Maadili ya viongozi wa umma, Mgongano wa Maslahi na uwajibikaji wa pamoja.
Mkuu wa wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi akifungua Mafunzo hayo
Mkiti wa Halmashauri Mhe Wilbard Bambara
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Solomon Kimilike
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa