- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mratibu wa TASAF Wilayani Ngara Bi Sakina Chamiti amesema ,kuwa Idadi ya Wasimamizi Viongozi (LSP) 86 na Wasimamizi ngazi ya Jamii (CMC)171 wamelipwa Posho zao za siku 30 Kwa kipindi Cha kuanzia Desemba Hadi January 2023.
Baada ya kuwa wamekamilisha kazi Kwa Mwaka wa fedha 2022/2023 ambapo Jumla ya Tsh 44,852,000.00/= zimelipwa.
Viongozi Wasimamizi wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suruhu Hassan Kwa kuwapatia Miradi Mbalimbali katika sekta za Misitu na Barabara .
Aidha walisema faida nyingine wanewezapata ujuzi wa kusimamia kazi za upandaji miti na usimamizi wa miradi ya Barabara.
Kutoka na shughuli hizo wameweza kujipatia ujira Kwa kupata fedha ambazo zimewasaidia katika mahitaji yao .
Kitengo Cha Habari na Mawasiliano
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa