- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Chama cha mapinduzi Mkoa wa Kagera kimeiomba Serikali kupitiaTamisemi kuwaongezea Watumishi wa Afya kwenye kituo cha Afya Rusumo ili
Kupunguza uhaba wa watumishi wakati wananchi wanapohitaji kutibiwa kwenye kituo hicho.
Akizungumza wakati wa ziara ya chama hicho Wilayani Ngara Mkoani Kagera walipotembelea Miradi ya Maendeleo ya Kimkakati Mwenyekiti wa CCM Mkoa Kagera Alhaji Naziri Karamagi katika kutimiza miaka 47 ya chama hicho.
Amesema wataalam ni wachache kwenye maeneo hayo na vyombo ni vya kisasa
ambapo ameendelea kuwaomba Tamisemi ili vyombo vilivyowekwa viendane na wataalam watakaoletwa ili kusudi vifanye kazi iliyokusudiwa.
"Tumeona majengo ya upasuaji na wanawake wakati wa kujifungua vifaa vya kuwaweka watoto njiti na kuomba wasaidiwe kuweka genereta ili liweze kusaidia umeme unapokatika wakati wa majokofu kama umeme unapo katika amesema Karamagi.
Kituo Cha Afya Rusumo Wilayani Ngara.
Kituo Cha Afya Rusumo.
Jengo la kulaza wagonjwa Rusumo kituo Cha afya.
Mradi wa maji Rusumo uliotembelewa na kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa kagera.
Eng Jumanne Magugu akiwaongoza Mkiti ccm Mkoa wa kagera na timu yake kukagua Mradi Mkubwa wa maji.
Timu hiyo ikiongozwa na Mkiti wa ccm Mkoa wa kagera Alhaj Naziri karamagi Walipotembelea Ngara high school iliyopo kata ya Kasulo wilayani Ngara.
Darasa la Awali shule ya Msingi mpya ya Nyaihanga kata ya Kasulo wilayani Ngara.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa