- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkutano wa Dharula wa Baraza la Madiwani umefanyika Leo tarehe 1/12/2023 katika ukumbi wa community centre Ngara Mjini.
Lengo la kikao hicho Cha dharula ni kupitia kuidhinisha sheria ndogo za Halmashauri ya wilaya ya Ngara.
Pia katika Mkutano huo imetolewa taarifa ya Mradi wa kupima vijiji na kuandaa mipango ya Matumizi Bora ya ardhi katika vijiji vyote vya Wilaya ya Ngara na kujadiliwa katika Mkutano huo .
Mkutano huo ukiongozwa na Mhe Wilbard Bambara Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara .
Katika Mkutano huo ulihudhuriwa na Waheshimiwa Madiwani kata zote ,Wakuu wa Idara na Vitengo pia wataalam kutoka Taasisi Mbalimbali .
Waheshimiwa Madiwani wakiwa katika Mkutano wa Dharula wa Baraza la Madiwani.
Mhe Wilbard Bambara Diwani kata ya Rusumo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara akiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg, Constantine Msemwa
Waheshimiwa Madiwani wakiwa katika kikao hicho
Waheshimiwa Madiwani
Walaam wa Halmashauri ya Wilaya wakiwa katika Mkutano huo.
Wataalam wa Halmashauri wakiwa katika kikao hicho.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa