- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa Wilaya Mhe Kanali Mathias Julius Kahabi anaendelea na ratiba ya kusikiliza na kutatua kero za Wananchi Leo tarehe 20/11/2023.
Zoezi ambalo alishalianza wilayani kata Kwa kata Kwa kufanya mikutano ya hadhara kuwasikiliza wananchi na kutatua kero zao.
Mhe Mkuu wa Wilaya ataambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Ndg Solomon Kimilike ,kamati ya Usalama Wilaya, Wakuu wa Idara na Vitengo Halmashauri , Taasisi TANESCO, RUWASA , TARURA, NIDA na TRA.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa