- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Mheshimiwa *Kanali Mathias Julius Kahabi* (kushoto) pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Wilaya wamefanya ziara kwenye Kata ya Bugarama - Ngara na kufanya Kikao na Viongozi wa vijiji vinavyohodhi eneo la Mradi wa Kabanga Nickel wa kampuni ya Tembo Nickel waliokuwa katika usimamizi wa mchakato wa kuonyesha Waguswa wa Mradi stahiki mali zinazofidiwa kwa ajili ya kutwaa ardhi na kukabidhiwa Mikataba ya Malipo (EBCA)
Mhe Mkuu wa wilaya, kwa niaba ya Wananchi wa Wilaya ya Ngara anatoa shukrani nyingi sana kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia fedha hizi nyingi za fidia kwa Wananchi wanaoguswa kwenye mradi huu wa Tembo Nickel kuanza kulipwa mapema iwezekanavyo.
#Kazi iendelee
#NgaraAmaniNaMaendeleo.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa