- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa wilaya ya Ngara Kanali Mathias J. Kahabi amefanya kikao na viongozi wa Chama na Serikali tarehe 24/11/2023 kata ya Murusagamba Wilayani Ngara.
Lengo la kikao ikiwa ni kutatua kero na Changamoto mbalimbali zilizopo katika Kata ya Murusagamba.
Mkuu wa wilaya amesisitiza katika kikao hicho upendo,ushirikiano, umoja na kujiamini Kwa viongozi wote wa Chama na serikali kuanzia ngazi ya kitongoji,kijiji,Kata , tarafa Hadi Wilaya .
Mkuu wa wilaya alimalizia Kwa kusema viongozi wote kuhakikisha wanaunga mkono kazi kubwa inayofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ya kuleta Maendelea.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa