- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Ngara Leo
Leo Tarehe 03/10/2024, Mhe Col Mathias Julius Kahabi Mkuu wa wilaya ya Ngara, Ameshiriki shughuli za usafi na Wananchi pamoja na Wafanyakazi wa NMB waliojitokeza kushiriki zoezi la usafi katika maeneo karibu na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya.
Kama ilivyo ratiba ya kila Alhamis ya kila wiki ni kufanya usafi Wilayani Ngara, Wananchi wamekuwa na mwamko mkubwa wa kufanya usafi kwa hiari yao wakishirikiana na Viongozi mbalimbali wakiwemo Watendaji wa Kata, Vijiji pamoja , Viongozi na Wataalam toka Halmashauri ya Wilaya ya Ngara.
Mhe DC Kahabi anawapongeza Viongozi hao kwa kuendelea kudumisha na kuthamini ratiba hii ya usafi inayoifanya Halmashauri ya Wilaya ya Ngara kuendelea kung'ara na kupendeza Barabara za mitaa na mazingira yake kwa ujumla.
Ngara Kazi inaendelea.......
www ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa