- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa wilaya Mhe Col Mathias Julius Kahabi akifuatana na baadhi ya Wajumbe wa KU Wilaya na Viongozi mbalimbali wa Kata ya Rusumo pamoja na Mhandisi Mjenzi wa Wilaya ya Ngara Simon Mtuka kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Ngara Ndg Solomon Kimilike walitembelea na kuona maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya Amali ya Mkoa wa Kagera inayojengwa katika Kijiji cha Kasharazi, Kata ya Rusumo, Wilaya ya Ngara.
Mkuu wa wilaya Mhe Kahabi anamshukuru sana Mhe Dr Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuipatia Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Tsh 1.6 Bilioni za Ujenzi wa Shule hiyo ya Mkoa ambapo Ujenzi huo unatarajiwa kukamilika mwezi November 2024.
Ngara Kazi inaendelea.
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa