- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA LEO
Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe Col Mathias Julius Kahabi na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Solomon Kimilike, leo tarehe 04/10/1024 wamefanya ziara ya kutembelea Soko la Kimkakati Kahaza linalojengwa Kata ya Rusumo katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara.
Katika ziara hiyo Mhe Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya walifuatana na KU Wilaya, Wataalam toka Halmashauri , Viongozi wa Kata ya Rusumo pamoja na timu ya Mkandarasi wa Mradi huo.
Mradi huo wenye Gharama ya Tshs Billion 2.5 na unatarajiwa kukamilika mwezi December 2024.
Ngara Kazi inaendelea...........
www.ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa