- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
NGARA LEO
Kimefanyika kikao cha Baraza la madiwani katika ukumbi wa Community centre Ngara mjini.
Kikao cha Baraza la Madiwani kikiongozwa na Makamu Mwenyekiti Halmashauri ya wilaya Mhe Adronizi Bulindori na kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg. Enock Ntakisigaye.
Baraza hilo pia limehudhuriwa na waheshimiwa madiwani, kamati ya usalama wilaya, wakuu wa taasisi za binafsi na serikali, Cde. Damian kwa niaba ya chama cha Mapinduzi Wakuu wa Idara na vitengo Halmashauri.
kikao hicho kilikuwa cha mapitio ya bajeti 2023/2024 na Rasimu ya Bajeti mwaka 2024/2025 Imepitishwa bajeti ya tsh Bil. 51,443,337,691.00/=.
Waheshimiwa madiwani wakiwa kwenye kikao cha Baraza la madiwani kufanya mapitio ya bajeti 2023/2024 na Rasimu ya bajeti 2024/2025 kikao kilichofanyika ukumbi wa Community Centre Ngara mjini.
Waheshimiwa Madiwani katika kikao.
Wataalam wa Halmashauri wakiwa kwenye kikao.
SMakamu Mkiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe Adronizi Burindoli akiwa na kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg Enock Ntakisigaye katika Kikao Cha Baraza la Madiwani lililofanyika Ukumbi wa Community Centre Ngara Mjini.
Waheshimiwa Madiwani.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa