- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Wilaya Ngara ilikuwa na miradi minne 4 ambayo ilizinduliwa, kaguliwa na kuwekwa jiwe la msingi yenye jumla ya thaman tsh 3,191,445,148.39/=
Miradi hiyo ni ukaguzi wa kikundi cha TEHAMA vijana _ Benaco, kuzindua vyumba 10 vya UVIKO _19 na TOZO shule ya sekondari Rusumo, Kuweka jiwe la msingi Mradi wa maji Rusumo, na kuzindua Barabara ya lami km 0 6 _ Nakatunga ikiwa na shughuli nne za kufanywa na mwenge ambazo ni kuzindua klabu za wapinga Rushwa ,kupinga na kudhibiti UKIMWI_Shule ya sekondari Rusumo,Ugawaji wa vyandarua kwa mama wajawajito na ugawaji kadi za bima ya afya kwa wasiojiweza kaya 10 _kituo cha afya Rusumo.
Aidha alitembelea vibanda vya maonesho ya mapambano dhidi ya Rushwa,Dawa za kulevya, Malaria , UKIMWI , Uchangiaji Damu salama ,upimaji Lishe, shughuli za vijana na wanawake, sensa na anwani za makazi.
Ndg Sahili Nyanzabara Geraruma Mkimbiza mwenge kitaifa awaliwapongeza mhe mkuu wa wilaya col Mathias kahabi na Mkurugenzi mtendaji wilaya Bw Solomon kimilike kwa usimamizi mzuri wa miradi ambapo miradi yote ilipitishwa na mwenge wa uhuru 2022.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa