- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Serikali ya Jamhuri yau Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dkt SAMIA SULUHU HASSAN,imetoa Pikipiki 34 kwa Maafisa Kilimo wa wilaya ya Ngara.
Lengo likiwa Kuboresha huduma za Ugani na kuongeza tija katika Uzalishaji wa Mazao ya Chakula na Biashara
Ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mhe Mathias Mkozi Diwani wa kata ya Ntobeye) aliyemwakilisha Mwenyekiti wa Halmashauri Wilbard Bambara,Amekabidhi
Pikipiki hizo. Aidha amesisitiza zitumike kwa lengo lililokusudiwa la kuwatembelea wakulima na kuwapa ushauri juu ya kuzingatia kanuni za kilimo bora na si vingiinevyo
Hafla imefanyika tarehe 15/4/2023 imehudhuliwa na , Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Bw Josephat Sangatati, Maafisa Kilimo na Mtaalamu, kutoka Kitengo cha Manunuzi na Ugavi.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa