- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Rais wa Burundi Mh. Pierre Nkurunziza leo tarehe 20 Julai 2017 ameitembelea nchi ya Tanzania na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Dkt John Pombe Magufuli katika eneo la Remela Kata ya Kanazi wilayani Ngara, ambapo Mh. Rais wa Burundi mbali na kupigiwa mizinga Ishirini na moja alipewa heshima ya kukagua gwaride liloandaliwa na jeshi la wananchi wa Tanzaia kwa ajili yake.
Baada ya mapokezi hayo marais hawa walipata nafasi ya kuzungumza, mazungumzo yaliyofanyika katika eneo la Ngara Mjini na baadaye chakula cha mchana katika ukumbi wa Askofu wa Kanisa la Roman Catholic Jimbo la Rulenge.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa