- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
1. Jumatatu, Tar 15/01/2024, Kutatua KERO na Makabidhiano Mradi wa maji Rusumo.
2. Jumanne, Tar 16/01/2024, Kikao Maalum Cha Kupokea Taarifa ya Ujenzi wa Soko la Kimkakati Rusumo, Ngara High na Ofisi ya DED - Mratibu wa LADP.
3. Jumatano, Tar 17/01/2024 , Kutatua KERO za wananchi wa Kijiji cha Murukulazo na Kikao cha Cha Kamati ya Ushauri TRA.
4. Alhamis, Tar 18/01/2024, Kutatua kero za wananchi na kushiriki shughuli za usafi Kata ya Kanazi.
5. Ijumaa, Tar 19/01/2024, Kutatua KERO za wananchi Ofisini kwa DC.
6. Jumamos, Tar 20/01/2024 , kukagua miradi ya Ujenzi wa Soko la Kimkakati Rusumo, Ngara High school na Jengo la Ofisi ya DED chini ya NELSAP ( LADP).
Watakaoambatana na Mhe Mkuu wa Wilaya , ni Katibu Tawala wilaya, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya, Kamati ya Usalama Wilaya, Ofisi ya Mbunge, Wakuu wa Idara na Vitengo Halmashauri.
Wakuu wa Taasisi za Serikali NIDA, TANESCO, RUWASA,TARURA NA TRA pia Viongozi wa Vijiji na kata Husika.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa