- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe Fatma Abubakari Mwassa amefungua kikao kazi katika ukumbi wa St Francis wilayani Ngara.
Kikao hicho kitakacho fanyika Kwa siku mbili Ambapo kimehudhuria na Katibu Tawala Mkoa Mhe Dkt Toba Nguvila, Viongozi Toka RS, Wah. Wakuu wa Wilaya, Mstahiki Meya Manspaa Bukoba, Wakurugenzi wa Halmashauri , na Manspaa, Maafisa Mipango, Waweka hazina,maafisa Lishe,Wakaguzi wa Ndani, Maafisa Elimu Msingi na Sekondari.
Mhe Mkuu wa Mkoa alianza Kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya viongozi wote.
Mkuu wa Mkoa Mhe. Hajjat Fatma Mwassa alisema lengo la kikao kazi ni kupanga mipango vizuri Ambapo alisema matokeo ya utendaji kazi huanza na Mipango mizuri.
Mhe Mkuu wa Mkoa aliendelea Kwa kusema si vizuri kupanga kimazoea.
Mkuu wa Mkoa Mhe Fatma Mwassa alisema tumefanya kikao wilayani Ngara Kwa sababu waliofanya vizuri kitaifa katika Miradi ili tuweze kwenda kujionea walivyofanya.
Waheshimiwa Wakuu wa Wilaya mbalimbali za mkoa wa kagera wakiwa kwenye kikao kazi
Wah. Wakuu wa Wilaya katika kikao hicho.
Mkuu wa Mkoa Mhe Hajatt Fatma Abubakari Mwassa aliyesimama katika ufunguzi wa kikao kazi ,kulia ni Mstahiki Meya Toka Bukoba Manspaa anayefuata ni Mhe Kanali Mathias J. Kahabi Mkuu wa Wilaya ya Ngara.
Katibu Tawala Mkoa wa kagera Mhe Dkt Toba Nguvila kabla ya kumkaribisha Mhe Mkuu wa Mkoa ili kufungua kikao kazi katika ukumbi wa St.Francis Ngara Mjini.
Viongozi Mbalimbali waliohudhuria kikao kazi kutoka Wilaya zote za Mkoa wa kagera.
Mkuu wa Mkoa wa kagera Hajatt Fatma Mwassa aliyesimama pia aliye kulia kwake ni Katibu Tawala Mkoa Dkt Toba Nguvila na kushoto kwake Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mhe Kanali Mathias J.Kahabi ( Mwenyeji).
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Ngara Ndg Solomon Kimilike aliye katikati akiwa kwenye kikao kazi.
Viongozi Mbalimbali Toka Wilaya zote za Mkoa wa kagera wakiwa kwenye kikao kazi.
Viongozi Mbalimbali katika kikao kazi.
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa