- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatoa fedha Tsh BILION 2.7 Kwa ajili ya ujenzi wa Chuo cha VETA cha pili Murugaragara Rulenge Wilayani Ngara.
Lengo la Kujengwa chuo hicho Cha pili Rulenge ni kupunguza adha kwa vijana wa tarafa za Rulenge na Murusagamba kufuata chuo cha Wananchi Remela kilicho mbali tarafa ya Kanazi .
Aidha Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Ndg.Solomon Kimilike amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuonyesha upendo Kwa wananchi wa Ngara Kwa kuleta fedha Kwa miradi mbalimbali ya Maendeleo Wilayani Ngara.
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa