- Mwanzo
- Kuhusu sisi
- Utawala
- Fursa za uwekezaji
- Huduma zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Leo uongozi wa Tembo Nickel umekutana na menejimenti ya Halmashauri katika Ukumbi wa kilimo.
Lengo likiwa viongozi wa Tembo Nickel Kutoa ufafanuzi wa eneo la mukigende ambapo waathirika wa mgodi wa Tembo Nickel Wilayani Ngara.
Ambapo Mpango huu umelenga kukidhi mahitaji ya waguswa na Mradi (PAPS) wanaotegemea kuhamia Kutoka Kabanga nickel, Aidha Mpango huo unazingatia kuhamasisha shughuli endelevu zinazotunza na kustawisha Mazingira ya mukigende na shughuli za wananchi watakaoishi humo Kwa kizazi Cha Sasa na vijavyo ( livability and suitability).
Mukigende ni Moja Kati ya Maeneo Saba yaliyoainishwa Kwa ajili ya kuwahamasishia waguswa wa Mradi machimbo TNCL. Maeneo hayo ni Ruhuba, Nyakafandi I, Nyakafandi II, Burinda, Magamba, Kazingati na Mukigende. Kati ya Maeneo haya sita yapo katika ardhi ya vijiji na yameandaliwa Mipango ya matumizi Bora ya Ardhi. Wakati mukigende pekee ipo eneo la mji na inaandaliwa mchoro wa Mipango miji (TP).
ngaradc.go.tz
Ngara District Council
Anuani ya Posta: P.O.Box 30, Ngara
Simu ya mezani: 0282226016
Simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@ngaradc.go.tz
Hakimilki ©2017 Halmashauri ya wilaya ya Ngara. Haki zote zimehifadhiwa